Wachuuzi walalamikia bei ya juu ya nyanya
0
Category:
Channel: Kenya CitizenTV
Posted by admin  .  Feb 20
0 favorites
12 views
0 likes
0 comments
Wakaazi na wachuuzi wanalalamikia bei ya juu ya nyanya. Ni taswira ambayo inashuhudiwa katika maeneo tofauti nchini huku bei ya bidhaa hiyo muhimu ikiendelea kupanda. Evans Asiba anatangamana na baadhi ya wachuuzi sokoni Wakulima mjini Nakuru.

admin's other videos

Videos in same Channel

Videos in same Channel